Mtandao wa Twitter umeanza kufanya majaribio ya kipengele kipya kitakachowawezesha watumiaji wake kushea maelezo yenye urefu mpaka wa maneno 2,500.
ADVERTISEMENT
–
Kwa kawaida mtandao huo umekuwa ukiruhusu posti zenye urefu wa herufi 280 tu.
–
Majaribio hayo yatafanyikia kwa miezi miwili na yatahusisha waandishi wachache nchini Canada, Ghana, Uingereza na Marekani.
ADVERTISEMENT
Kipengele hiko kipya kina dhumuni la kuwawezesha wasomaji kuona kichwa cha habari na pia kuweza kufikia habari kamili kwa kubonyeza kiungo (link).