Mwanamitindo na mjasiriamali wa Kenya, Vera Sidika ameshauri kina dada kuchukua fedha za Sponsa na kuwekeza.
–
ADVERTISEMENT
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, mmoja wa mashabiki wake alimuuliza ushauri wake kwa wasichana ambao wanatoka na watu wazima.
–
“Ushauri wako kwa msichana anayechumbia wababa,” Shabiki aliuliza.
–
ADVERTISEMENT
“Kula pesa yake mzuri, lakini cha muhimu wekeza,”Alijibu Vera.
–
Utakumbuka Vera alipata umaarufu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla mara baada ya kutokea kwenye video ya kundi la P Unit, You Guy.