Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameeleza kuwa uhalisia wa gharama za video sio majivuno bali ni kuonyesha namna gani wanaipigania sanaa izidi kukua.
–
ADVERTISEMENT
Kupitia ukurasa wake wa instagram leo, ameandika…
–
“Uhalisia au gharama katika video sio majivuno bali ni kuonyesha tu ni namna gani tunaipigania sanaa yetu izidi kukua isichukuliwe poa poa”
–
ADVERTISEMENT
Hata hivyo Rayvanny yupo mbioni kuachia video yake nyingine ambayo ameeleza ina bajeti zaidi ya milioni 100 za kitanzania.