ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WAKENYA WALALAMIKIA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 15, 2022
in HABARI
0
WAKENYA WALALAMIKIA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA
0
SHARES
16
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

Jun 29, 2022

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

Jun 29, 2022

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

Jun 29, 2022
Load More

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (Epra) imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kwa Sh9 katika ukaguzi wake wa kila mwezi.

 

–

 

Kwa muda wa mwezi mmoja ujao, lita moja ya petroli kubwa jijini Nairobi itagharimu Sh159.12, dizeli Sh140 na mafuta taa Sh127.94, hivyo kuashiria kupanda zaidi kwa bei ya mafuta.

 

–

 

Kitangaza kupanda kwa bei hiyo siku ya Jumanne, Epra ilisema katika taarifa yake kwamba serikali itatumia Hazina ya Maendeleo ya Petroli (PDL) kuwaepusha watumiaji kutoka kwa bei hizo za juu.

ADVERTISEMENT

 

–

 

Huku madereva wa Nairobi wakilipa Sh159.12 kwa lita moja ya petroli, bei halisi ni Sh184.68, kumaanisha kuwa serikali italipa Sh25.76 kama ruzuku .

 

–

 

Serikali imetangza kwamba ruzuku ya dizeli ni Sh48.19 kwa lita huku ile ya mafuta ya taa ikiwa ni Sh42.43 kwa lita.

ADVERTISEMENT

 

–

 

Epra imesema bei hizo zinajumuisha kodi na zimerekebishwa kuingiliana na mfumuko wa bei. Na punde tu baada ya tangazo hilo kufanywa Wakenya waliingia katika mitandao ya kijamii na kutoa ghadhabu zao.

 

Credit – BBC SWAHILI

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA
HABARI

R KELLY AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI
HABARI

POLISI 156 WAFUKUZWA MAFUNZONI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA
HABARI

VIGOGO WA CHAMA CHA WALIMU WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE
HABARI

MAHAKAMA YATOA AMRI KESI HALIMA MDEE NA WENZAKE

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU
HABARI

RAIS SAMIA ATEUA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022
MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22
HABARI

MPOLE AMFUNIKA MAYELE LIGI KUU YA NBC 2021/22

by Shabani Rapwi
Jun 29, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In