ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, August 13, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WATU 46 WAMEFARIKI DUNIA KWENYE LORI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jun 28, 2022
in HABARI
0
WATU 46 WAMEFARIKI DUNIA KWENYE LORI
0
SHARES
99
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Aug 13, 2022

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

Aug 12, 2022

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

Aug 12, 2022
Load More

 

Takriban watu 46, wanaoaminika kuwa wahamiaji, wamepatikana wamefariki kwenye lori lililotelekezwa viungani mwa San Antonio, Texas. Afisa wa zima moto alisema watu 16 wakiwemo watoto wanne pia wamepelekwa hospitalini.

 

 

–

 

San Antonio, ambayo ni 250km (maili 150) kutoka mpaka wa Marekani na Mexico, ni njia kuu ya kupita kwa watu wanaosafirishwa kwa njia haramu.

 

 

–

 

 

Charles Hood, Mkuu wa Zimamoto wa San Antonio, alisema wahudumu wa dharura walifika katika eneo la tukio karibu 18:00 ndani (23:00 GMT) baada ya kupata taarifa za mtu aliyefariki.

 

 

Maafisa wa zimamoto walipata ‘’trela likiwa na mwili nje na kadhaa ndani na wangeweza kuona ndani wakati milango ilipofunguliwa.

 

 

–

 

Aliongeza kuwa lori hilo halikuwa na kiyoyozi kinachofanya kazi na kwamba ndani yake hakukuwa na maji. Kulingana na kituo cha runinga cha KSAT, gari hilo liligunduliwa karibu na njia za reli katika Upande wa Kusini Magharibi mwa San Antonio.

 

 

–

 

 

Idadi kubwa ya wahudumu wa dharura, wakiwemo polisi, wazima moto na wahudumu wa gari la wagonjwa, walionekana wakizunguka lori hilo kubwa.

 

 

Mkuu wa Polisi wa San Antonio William McManus alisema uchunguzi huo sasa umekabidhiwa kwa serikali kuu na watu watatu wanazuiliwa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Mexico, Marcelo Ebrard, alisema balozi mdogo wa nchi hiyo alikuwa njiani kuelekea eneo la ugunduzi huo, lakini akaongeza kuwa mataifa ya wahasiriwa bado hayajajulikana.

 

–

 

ADVERTISEMENT

Gavana wa chama cha Republican cha Texas Greg Abbott alimlaumu Rais wa Marekani Joe Biden kwa vifo hivyo, akivitaja kama ‘’matokeo ya sera zake mbaya za mpakani’’.

 

–

 

Beto O’Rourke, mgombeaji wa chama cha Democratic anayechuana na Bw Abbott, alisema ripoti hizo ni mbaya na akataka hatua za haraka zichukuliwe kusambaratisha biashara za usafirishaji haramu wa binadamu na badala yake kufungua njia za uhamiaji halali.

 

 

ADVERTISEMENT

Uhamiaji ni suala lenye utata la kisiasa nchini Marekani, ambapo mwaka jana idadi kubwa ya wahamiaji wasio na hati walizuiliwa wakivuka kuingia nchini kutoka Mexico – wengi wakisafiri kwenye njia hatari na zisizo salama.

 

 

–

 

Hali ya hewa ya San Antonio ni joto katika miezi ya kiangazi na halijoto huko ilifikia 39.4C (103F) siku ya Jumatatu.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene
BIASHARA

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

by I am Krantz
Aug 13, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022
HABARI

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji
HABARI

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini
HABARI

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.
BIASHARA

Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.

by I am Krantz
Aug 12, 2022
Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe
HABARI

Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe

by ALFRED MTEWELE
Aug 11, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In