ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Zari Hassan Afunguka Suala la Kuhamia Kenya

I am Krantz by I am Krantz
Jun 9, 2022
in BURUDANI
0
Zari Hassan Afunguka Suala la Kuhamia Kenya
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mwanasoshalaiti na mfanyibiashara mashuhuri kutoka Uganda Zari Hassan yupo nchini Kenya.

Zari alitua katika uwanja wa ndege wa JKIA Jumatano asubuhi akiwa ameandamana na walinzi wake. Alilakiwa na wanandoa Kabi na Milly Wajesus pamoja na kundi la waandishi wa habari.

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More

Akizungumza baada ya kuwasili nchini, Zari alieleza kuwa amezuru kwa ajili ya uzinduzi wa jumba la kipekee ambalo limejengwa jijini Nairobi.

“Mimi napenda mali. Nilitaka kujua ni nani anajenga jumba hilo. Tulianza kuwasiliana nao na tukaamua kuchukua mradi huu,” Zari alisema katika mahojiano na Eve Mungai.

Wakati wa ziara yake hapa Kenya, mama huyo wa watoto watano pia ataandaa karamu ya kifahari na kufanya miradi kadhaa ya hisani.

ADVERTISEMENT

Zari ambaye amewahi kuishi katika nchi tatu za Afrika hata hivyo hakubainisha kipindi anachokusudia kukaa hapa nchini.

“Sijui nitakaa Kenya muda gani. Naweza kuishi milele. Kenya ni kuzuri. Nahisi vizuri hapa,” Zari alisema.

Mwanasoshalaiti huyo alifichua kwamba anakipenda sana chakula cha hapa Kenya na kusema kuwa anakipeza.

“Napenda chakula cha Kenya. Napenda ugali, nyama choma na sukumawiki. Hiyo ni lazima na sijazikula kwa muda mrefu,” Alisema.

Zari hakutupilia mbali uwezekano wa kuwahi kuishi Kenya huku akibainisha kuwa hapa ni kama nyumbani kwake pia.

ADVERTISEMENT

“Sijui lakini kila kitu chawezekana. Mimi ni Mwafrika Mashariki, Kenya ni sehemu ya Afrika Mashariki. Chochote chaweza kutokea,” Alisema.

Miaka ya hapo awali Zari ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini amewahi kuishi Uganda (nchi ya kuzaliwa) na Tanzania ambako alikuwa ameolewa.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Stan Bakora Ahuhakikishia Ulimwengu Kuwa Kajala na Harmonize Wanafunga Ndoa Hivi Karibuni
BURUDANI

Stan Bakora Ahuhakikishia Ulimwengu Kuwa Kajala na Harmonize Wanafunga Ndoa Hivi Karibuni

by I am Krantz
Jun 22, 2022
Wabunge Waja Juu Sakata La Loliondo/Mpina Aichokonoa Tena Serikali Bei Ya Mbolea Na Umeme /Ole Sabaya Kazi Anayo /Yanga Siku Ya Kutua Aziz Ki/ Simba/Manula Kufuru Simba……… Magazeti Ya Tanzania Na Ya Nchi Za Nje, Leo, Jumanne, Juni 21, 2022
BURUDANI

Wabunge Waja Juu Sakata La Loliondo/Mpina Aichokonoa Tena Serikali Bei Ya Mbolea Na Umeme /Ole Sabaya Kazi Anayo /Yanga Siku Ya Kutua Aziz Ki/ Simba/Manula Kufuru Simba……… Magazeti Ya Tanzania Na Ya Nchi Za Nje, Leo, Jumanne, Juni 21, 2022

by I am Krantz
Jun 21, 2022
Lori Laua Wanafunzi Wanne / Rais Samia Aonya Kuhusu Panya Road/Kocha Wa Simba Ni Huyu Hapa /Zari Amzidi Kibenten Miaka 25…….MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE  20 JUNI
BURUDANI

Lori Laua Wanafunzi Wanne / Rais Samia Aonya Kuhusu Panya Road/Kocha Wa Simba Ni Huyu Hapa /Zari Amzidi Kibenten Miaka 25…….MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 20 JUNI

by I am Krantz
Jun 20, 2022
MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE
BIASHARA

MBOSSO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA AFYA YAKE

by I am Krantz
Jun 20, 2022
Rais Samia: Tusizalishe ‘panya road’ wanatusumbua!
BURUDANI

Rais Samia: Tusizalishe ‘panya road’ wanatusumbua!

by I am Krantz
Jun 20, 2022
Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu
BURUDANI

Q Chief Sasahivi ni Mganga wa Kienyeji…Afunguka Kuoteshwa Kutibu Watu

by I am Krantz
Jun 19, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In