Mlinzi wa West Ham United, Kurt Zouma ameamriwa kufanya kazi ya kujitolea ya kijamii kwa saa 180 badala ya kwenda jela kufuatia tukio la kumpiga teke paka wake.
ADVERTISEMENT
–
Aidha Zouma (27) raia wa Ufaransa amepigwa marufuku kufuga paka kwa kipindi cha miaka mitano katika Mahakama ya Thames baada ya kukiri kumpiga teke paka wake kipenzi.
ADVERTISEMENT