ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

I am Krantz by I am Krantz
Jul 3, 2022
in BIASHARA, BURUDANI, MICHEZO
0
0
SHARES
331
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

OTMI0816 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa  Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said muda mfupi baada ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection). Hafla hiyo imekafika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.

OTMI0810 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa  Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said wakitiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection). Hafla hiyo imekafika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.

RelatedPosts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

Sep 26, 2023

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sep 26, 2023

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

Sep 26, 2023
Load More
OTMI0771

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akizungumza katika hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection), katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa.

OTMI0794 

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa  Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said (kulia) akizungumza katika hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection), katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.

OTMI0659

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (kushoto) na Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa wakifatilia hafla ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi  ikiwamo ada na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo (one centre collection),  katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.

OTMI0778

 

OTMI0687
OTMI0685

 

OTMI0849

 

OTMI0835

 

OTMI0830

 

OTMI0855

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
ONANA ASEMA ‘HUU NI MOJA YA MCHEZO MBAYA ZAIDI AMBAYO NIMECHEZA’
HABARI

ONANA ASEMA ‘HUU NI MOJA YA MCHEZO MBAYA ZAIDI AMBAYO NIMECHEZA’

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
ERIK TEN HAG HAJAWAHI KUWA NA KIKOSI BORA CHA MANCHESTER UNITED TANGU AWE MENEJA
HABARI

ERIK TEN HAG HAJAWAHI KUWA NA KIKOSI BORA CHA MANCHESTER UNITED TANGU AWE MENEJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023
MASHABIKI WA NAMUNGO FC WAPATA AJALI, WANNE WAFARIKI NA 16 MAJERUHI
HABARI

MASHABIKI WA NAMUNGO FC WAPATA AJALI, WANNE WAFARIKI NA 16 MAJERUHI

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023
TWIGA STARS YAWASILI IVORY COAST KUWAVAA WENYEJI HAO IJUMAA
HABARI

TWIGA STARS YAWASILI IVORY COAST KUWAVAA WENYEJI HAO IJUMAA

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In