ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, August 13, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BENKI YA NBC KUENDELEA KUWAPA NAFASI WAJASIRIAMALI KUSHINDANA KATIKA SOKO

I am Krantz by I am Krantz
Jul 12, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
BENKI YA NBC KUENDELEA KUWAPA NAFASI WAJASIRIAMALI KUSHINDANA KATIKA SOKO
0
SHARES
47
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akiwa ndani ya tawi la benki akihudumia wateja,kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza ndani ya tawi la benki hiyo kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa yaMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza ndani ya tawi la benki na watendaji wake,kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa yaMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza na mmoja wa wajasiriamali waliopo ndani ya banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza na waandishi wa Habari.

*************

RelatedPosts

BENKI YA NBC  YAMWAGIWA SIFA KWA KUTOA FIDIA YA BIMA YA MAZAO  KWA WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA

BENKI YA NBC  YAMWAGIWA SIFA KWA KUTOA FIDIA YA BIMA YA MAZAO  KWA WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA

Jul 23, 2022

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 4 KUTOKA NBC

Jun 4, 2022
Load More

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi,amesema benki hiyo inaendelea kushirikiana na wajasiriamali ili kukuza uchumi wa taifa kwa kuwapa elimu na mafunzo ya namna ya kutoa huduma bora kuwapatia mitaji ili waweze kushindana katika soko.

ADVERTISEMENT

Akizungumza katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaaam,Sabi ameeleza kuwa wao kama taasisi ya kifedha wanashirikiana na wajasiriamali kwa kuhakikisha wanapata nafasi ya kutangaza biashara zao.

“Sisi kama benki tunasisitiza sehemu ya maonyesho yetu,tunashirikiana na wafanyabiashara kutangaza biashara zao na katika banda hili tumewapa nafasi za kuweka bidhaa zao,ambazo wanazalisha hapa nchini na sisi kama taasisi ya fedha tunashirikiana na wajasiriamali kwa kuwapa mikopo kama mitaji kuendeleza shughuli zao”alisema Sabi

Sabi ameeleza kuwa biashara ya kisasa inahitaji ujuzi na matumizi ya teknolojia katika uzalishaji,benki hiyo inalitambua hilo na inaendelea kuwajengea uwezo wajasiriamali washindane katika soko katika bara la Afrika.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: NBC
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene
BIASHARA

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

by I am Krantz
Aug 13, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022
HABARI

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji
HABARI

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini
HABARI

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE
BIASHARA

STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.
BIASHARA

Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.

by I am Krantz
Aug 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In