ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, August 8, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

I am Krantz by I am Krantz
Jul 2, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
0
SHARES
67
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo akikata utepe kuzindua moja ya matrekta yanayotolewa na benki ya Benki ya Taifa ya Biashara ya NBC kwa wakulima.Mkopo huo ambao ni sehemu ya huduma ya NBC Shambani, unatolewa kwa masharti nafuu ambapo mteja atalipa asilimia 25 kama malipo ya awali na kiasi kilichobaki kulipwa kwa awamu kuanzia mwaka mmoja hadi mitano.Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Songea, Frank Kiranga

 

 

RelatedPosts

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Aug 8, 2022

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

Aug 8, 2022

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

Aug 8, 2022
Load More
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo akikabidhi treka kwa mkulima, Chacha Marwa Mwikwabe baada ya kufanikiwa kuwa mteja wa kwanza kupata mkopo kutoka Benki ya Biashara ya Taifa NBC.Mkopo huo ni sehemu ya huduma ya NBC Shambani, inatolewa kwa masharti nafuu ambapo mteja atalipa asilimia 25 kama malipo ya awali na kiasi kilichobaki kulipwa kwa awamu kuanzia mwaka mmoja hadi mitano.Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Songea, Frank Kiranga

 

Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo akikata utepe kuzindua moja ya matrekta yanayotolewa na benki ya Benki ya Taifa ya Biashara ya NBC kwa wakulima.Mkopo huo ambao ni sehemu ya huduma ya NBC Shambani, unatolewa kwa masharti nafuu ambapo mteja atalipa asilimia 25 kama malipo ya awali na kiasi kilichobaki kulipwa kwa awamu kuanzia mwaka mmoja hadi mitano.Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Songea, Frank Kiranga

Ruvuma. Julai Mosi, 2022.Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi huduma ya utoaji  wa mkopo wa treka kwa wakulima katika mkoani Ruvuma na mikoa ya jirani kwa lengo la kuwawezesha kuboresha shughuli za kilimo katika ukanda huo.

Mkopo huo ambao ni sehemu ya huduma ya NBC Shambani, unatolewa kwa masharti nafuu ambapo mteja atalipa asimilia 25 tu ya mkopo mzima kama malipo ya awali na kiasi kilichobaki atalipa kwa kipindi cha mwaka mmoja hadi mitano kulingana na makubaliano.

Akikabidhi moja ya treka kwa mteja wa kwanza kupata huduma hiyo, Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo aliipongeza NBC kwa kuanzisha huduma hiyo ambayo itawawezesha wakulima kupata matrekta kwa urahisi zaidi na kusaidia katika kuongeza uzalishaji mkoani humo.

 

 

 

Mkoa wa Ruvuma ni moja kati ya mikoa inayochangia kwa kiasia kikubwa katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini hivyo huduma hiyo itawawezesha wakulima kuboresha kilimo na kufanya sekta hiyo kuongeza tija zaidi nchini.

Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mkoa huo una jumla ya hekta 4,007,746 za ardhi zinazofaa kwa kilimo ambapo katika kipindi cha miaka mitano 2015/2020 Mkoa umeweza kuzalisha tani 8,547,816 za mazao hadi kufikia mwaka 2020.

Meneja wa Tawi la NBC Songea, Frank Kiranga alisema huduma hiyo ni mahususi kwa wakulima wa aina zote mkoa wa Ruvuma na mikoa jirani na imelenga kuwawezesha kuongeza ufanisi wa shughuli za kilimo mkoani humo.

“Ili kupata huduma hii, mteja atatakiwa kuwa na shamba kuanzia hekari moja ambalo lina hati ya kimila au hati ya Kamishna wa Ardhi au mkataba wa mauziano.Pili, mteja atatakiwa kulipa malipo ya awali ya asilimia 25 na kiasi kilichobaki atalipa kwa awamu kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitano,” alisema.

Chacha Marwa Mwikwabe ambaye amekuwa wa kwanza kupata huduma hiyo aliishukuru NBC kwa kuanzisha huduma hiyo ambayo imemuzesha kutimiza ndoto ya kumiliki trekta na kwamba itamuongezea kasi ya uzalishaji katika shughuli zake.

Treka moja lina thamani ya Shilingi 62 Milioni na asilimia 25 ni sawa na Shilingi 15.5 milioni kama malipo ya awali.

Mwisho.

ADVERTISEMENT

 

ADVERTISEMENT

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .
HABARI

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

by I am Krantz
Aug 8, 2022
UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA
HABARI

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI
HABARI

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
HABARI

ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

by Shabani Rapwi
Aug 7, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima
HABARI

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

by I am Krantz
Aug 7, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In