ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, August 13, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KISA MKASA; Mama mkwe kanifungulia kesi kwamba nilitaka kumbaka!

I am Krantz by I am Krantz
Jul 15, 2022
in HABARI
0
KISA MKASA; Mama mkwe kanifungulia kesi kwamba nilitaka kumbaka!
0
SHARES
35
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Huku duniani kuna mambo ukiambiwa unaweza kujiuliza inawezekanaje lakini ukweli ni kwamba mambo hayo yapo na wanafanywa na ni binadamu ambao kila siku wanaenda kwenye nyumba za ibada kusali. 

RelatedPosts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Aug 13, 2022

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

Aug 12, 2022

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

Aug 12, 2022
Load More

Siwezi kusahau miaka mitatu iliyopita ambapo mama mkwe wangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka kumbaka akiwa nyumbani kwake jambo ambalo sio la kweli. 

Nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo. 

Mke wangu waliamua kuondoka nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kula kuku na mayai yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo hicho na wala sijawahi kuwa na hata wazo la namna hiyo. 

Nilimuomba sana asiondoke maana hana uwakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema mama yake amemlea na anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho.

Basi mke wangu aliondoka na kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari. 

Mtoto wa mjomba yangu ambaye ni mwanasheria alipata habari hizo na kuja nyumbani kunitembelea, nilimueleza ukweli wa jambo hilo na kuahidi kuwa ataisimamia kesi hiyo hadi kuhakikisha nashinda. 

Katika maongezi yetu zaidi aliniambia kuna mtu anaitwa Dr. Kiwanga niwasiliane naye kwani atawezesha sisi kushinda kesi hiyo kwa urahisi zaidi na amekuwa akiwashauri wateja wake kufanya hivyo kabla ya kuanza kusimamia kesi zao. 

Alichukua simu yake na kunipatia namba ya Dr. Kiwanga ambayo ni +254 769404965, niliwasiliana naye na kumuomba sana anisaidie niweze kuondokana na aibu hiyo. Basi alinihakikishia kesi hiyo ni nyepesi sana na nina kwenda kuishinda mchana kweupe siku sio nyingi. 

Ilifika siku ya hukumu na Jaji akatoa hukumu kuwa sina hatia, siku hiyo mama mkwe wangu hakuwepo mahakamani bali aliwakilishwa na mwanasheria wake. Nilifurahi sana kuachiwa huru maana hapo jina langu linakuwa limesafishwa kutoka mtu ambaye nilioneka kuwa mbakaji aliyevuka mipaka.

ADVERTISEMENT

Kilichokuja kunishangaza ni pale niliporudi nyumbani na kumkuta mke wangu, nilimuuliza mbona umerudi, akaniambia pole najua umeshinda kesi ila samahani sana. 

Nikamuuliza samahani ya nini tena?, akajibu amebaini kuwa mama yake alinifungulia kesi ya uongo ili tuachane halafu nikaolewe na mwanaume mwingine ambaye alimuahidi atatoa mahari kubwa sana. Mke wangu alinisisitiza nisamehe kwa moyo mweupe na tuendelee na maisha yetu, kwa kuwa nilimpenda sana niliamua kusamehe. 

ADVERTISEMENT

Ukiachana na hayo, Dr. Kiwanga anaweza kukufanya kuwa na  bahati maishani mwako, kushinda bahati nasibu, kuondokana na mikosi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuondokana na migororo na ndoa na kuongeza mauzo katika biashara. 

Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukusaidia kupata ujauzito, kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa, kukupa mvuto wa kimapenzi na mengineo. Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Mwisho.

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene
BIASHARA

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

by I am Krantz
Aug 13, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022
HABARI

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji
HABARI

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini
HABARI

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.
BIASHARA

Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.

by I am Krantz
Aug 12, 2022
Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe
HABARI

Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe

by ALFRED MTEWELE
Aug 11, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In