Klabu ya Mamelodi Sundowns imeinasa saini ya kiungo wa Kimataifa wa Chile Marcelo Allende kutoka klabu ya Montevideo City Torque.
ADVERTISEMENT
–
Allende (23) ambaye aliwahi kufanya majaribio kunako klabu ya Arsenal ameigharimu miamba hiyo ya Afrika Kusini ada ya dola milioni 3.
ADVERTISEMENT