ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, August 8, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAZISHI YA MABIKI YA LUMUMBA YAFANYIKA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
in HABARI
0
MAZISHI YA MABIKI YA LUMUMBA  YAFANYIKA
0
SHARES
56
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Aug 8, 2022

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

Aug 8, 2022

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

Aug 8, 2022
Load More

 

Mabaki ya aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa Congo Patrice Lumumba yamezikwa hapo jana siku ya Alhamisi Juni 30, 2022 mjini Kinshasa kwenye eneo maalum lililojengwa, wakati Rais Felix Tshisikedi akitoa hotuba yake.

 

 

–

ADVERTISEMENT

 

Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, hafla hiyo imefanyika wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru ambapo siku kama hii mwaka wa 1960 . taifa hilo lilijipatia uhuru wake kutoka Ubelgiji.

 

 

–

 

Lumumba anakumbukwa kama shujaa wa kitaifa aliyesaidia kumaliza utawala wa kikoloni. Lumumba alifanyika waziri mkuu wa Congo baada ya uhuru lakini akauwawa kabla ya kumaliza mwaka mmoja madarakani mwaka wa 1961.

 

 

–

 

Mazishi ya Alhamisi yamefanyika baada ya Ubelgiji kurejesha mabaki yake nchini mapema mwezi huu.

 

ADVERTISEMENT

 

Jeneza lililokuwa na jino lake awali lilipelekwa kwenye sehemu tofauti za nchi , ili kutoa nafasi kwa wananchi kutoa heshima zao kikiwemo kijiji alikozaliwa cha Onalua, kilichoko kwenye jimbo la Sankuru.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .
HABARI

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

by I am Krantz
Aug 8, 2022
UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA
HABARI

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI
HABARI

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
HABARI

ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

by Shabani Rapwi
Aug 7, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima
HABARI

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

by I am Krantz
Aug 7, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In