Klabu ya Al Qadsiah ya Saudi Arabia imethibitisha kukamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa Tanzania Saimon Msuva Kwa mkataba wa mwaka mmoja.
–
ADVERTISEMENT
Msuva amesaini mkataba huo na atakuwa analipwa Dola 50,000 (Milioni 116 za Kitanzania) kwa mwezi.
ADVERTISEMENT