ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, August 8, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB kurahisisha udhibiti makusanyo ya mapato Sekta ya Utalii Zanzibar

I am Krantz by I am Krantz
Jul 14, 2022
in BIASHARA, MICHEZO
0
NMB kurahisisha udhibiti makusanyo ya mapato Sekta ya Utalii Zanzibar
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Mkuu wa Biashara ya Kadi Benki ya NMB – Philbert Casmir (katikati), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar – Dk. Amina  Ameir Issa, mfano wa mashine ya kupokea malipo kwa ajili ya wizara hiyo, NMB imekabidhi mashine 50 ambazo zitasaidia kuimarisha na kukuza ukusanyaji wa mapato kwenye Sekta ya Utalii. Kutoka kushoto ni Meneja Mwandamizi Biashara ya Kadi NMB – David Ngusa na Meneja Biashara NMB Zanzibar – Naima Said Shame.

 Mkuu wa Biashara ya Kadi Benki ya NMB, Philbert Casmir (katikati), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Dk. Amina  Ameir Issa, mfumo wa malipo wa Lipa Mkononi (QR) kwa ajili ya wizara hiyo. Kushoto ni Meneja Biashara NMB Zanzibar – Naima Said Shame.

………………………………………….

RelatedPosts

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Aug 8, 2022

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

Aug 8, 2022

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

Aug 8, 2022
Load More

 

Benki ya NMB katika kuhakikisha Sekta ya utalii visiwani Zanzibar inaimarika, imekabidhi Mashine za malipo (POS) 50 pamoja na Lipa Mkononi (QR) kusaidia kudhibiti na kukuza ukusanyaji mapato katika Sekta ya Utalii visiwani Zanzibar.

ADVERTISEMENT

Akizungumza katika hafla ya makabidhino, Mkuu wa Idara ya Biashara za Kadi NMB – Philbert Casmir alisema “huu ni utekelezaji wa makubaliano  tuliofanya miezi sita iliyopita kati ya Benki ya NMB pamoja na Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar – Tulisaini makubaliano ya kuimarisha uchumi wa bluu kwa kutoa elimu na kuhamasisha watu kutembelea vivutio vya kitalii”.

Akipokea mashine hizo pomoja na Lipa Mkononi (QR) Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Dk. Amina Ameir Issa  alisema kuwa Benki ya NMB imerahisisha malipo, sasa unamiza malipo kidijitali kwani ukienda kwenye vituo vya utalii huna haja ya kubeba fedha taslimu. Uwe Mtanzania au mgeni, unalipia kwa mashine hizi kwa kutumia kadi yako ya benki, ambayo ina pokea mifumo ya MasterCard, VISA na UnionPay au simu za mkononi kutumia mfumo wa Ku-scan au Lipa Namba kufanya malipo.

Aidha, alieleza kuwa sasa Serikali itaweza kujua kiwango cha fedha kinachoingia kwa siku, wiki, mwezi au mwaka hivyo kuwawezesha  kufikia malengo ya mwaka huu wa fedha ya kukusanya Sh. Bilioni Moja katika sekta ya utalii. Maeneo yatakayotumia mfumo huu ni pamoja na Mvuleni, Kizimkazi, Mapango ya watumwa Manga Pwani, Bi Khole, Mtoni, Rasi ya Kibweni na Maruhubi.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Benki Ya KCB Yaja Na Siku Maalumu Wafanyakazi Kujumuika Na Watoto Kazini Na Kufurahi Pamoja
BIASHARA

Benki Ya KCB Yaja Na Siku Maalumu Wafanyakazi Kujumuika Na Watoto Kazini Na Kufurahi Pamoja

by ALFRED MTEWELE
Aug 5, 2022
TTCL Nayo Yashiriki Maonyesho Nanenane 2022
BIASHARA

TTCL Nayo Yashiriki Maonyesho Nanenane 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 5, 2022
SIMBA SC KUKIWASHA DHIDI YA MABINGWA WA LIGI KUU ETHIOPIA SIMBA DAY
MICHEZO

SIMBA SC KUKIWASHA DHIDI YA MABINGWA WA LIGI KUU ETHIOPIA SIMBA DAY

by ALFRED MTEWELE
Aug 5, 2022
Spika Tulia Apongeza Jitihada za Benki ya NBC Kuinua Sekta ya Kilimo
BIASHARA

Spika Tulia Apongeza Jitihada za Benki ya NBC Kuinua Sekta ya Kilimo

by ALFRED MTEWELE
Aug 5, 2022
CRDB Yashiriki Kongamano la 4 la Wadau wa Nishati
BIASHARA

CRDB Yashiriki Kongamano la 4 la Wadau wa Nishati

by ALFRED MTEWELE
Aug 5, 2022
UZINDUZI WA RIPOTI YA MIPANGO ENDELEVU YA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS LTD
BIASHARA

UZINDUZI WA RIPOTI YA MIPANGO ENDELEVU YA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS LTD

by I am Krantz
Aug 4, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In