ADVERTISEMENT
Mwanasoka mahiri mwenye asili ya Bukinafaso aliyekuwa anakipiga mnamo klabu ya Al-Salt, Mohamed Ouattara ajiunga rasmi na klabu ya Simba yenye makao yake Kariakoo nchini Tanzania ambayo kwa sasa ipo katika msimu wa mapunziko huko Ismailia nchini Misri kuhudumu nafasi ya beki katika michezo mbalimbali ikijumuisha michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao.
ADVERTISEMENT