Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi aishukuru Serikali ya Omani kwa ushirikiano bora katika kuimarisha miradi mbalimbali waliojiwekea. Maelezo hayo yamethibitishwa kupitia ujumbe wa barua rasmi iliotolewa na ofisi ya mawasiliano Ikulu Zanzibar.