ADVERTISEMENT
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amewataka wafanyakazi nchini kuwa watulivu na kwamba serikali itatoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyotokea katika mwezi huu wa Julai.
–
Kauli ya Msigwa inafuatia malalamiko ya baadhi ya wafanyakazi wa serikali kuwa, kiwango kilichoongezwa kwenye mishahara yao ya mwezi huu wa Julai sicho walichokitegemea.
