ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 9, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

SIMBA KUSHUKA DIMBANI KESHO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jul 26, 2022
in HABARI
0
SIMBA KUSHUKA DIMBANI KESHO
0
SHARES
222
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

Jun 9, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

Jun 9, 2023

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

Jun 8, 2023
Load More
Kikosi cha klabu ya Simba kinatarajia kucheza mchezo wa tatu wa kirafiki dhidi ya timu ya Haras El Hodood iliyopanda daraja ya kushiriki Ligi Kuu ya Misri msimu ujao mtanange utakaopigwa katika Mji wa Cairo.
–
Mchezo huo utapigwa kesho saa 10 Jioni kwa saa za Misri ambapo ni sawa na saa 11 kwa Tanzania.
–
Kocha Mkuu Zoran Maki, amesema mchezo huo utakuwa na lengo la kuangalia maendeleo ya timu yetu katika eneo la kiufundi na utimamu wa mwili.
–
Ameendelea kusema kuwa ameridhishwa na kiwango cha timu katika mchezo uliopita dhidi ya Abo Hamad hasa kipindi cha pili kwani wachezaji walikuwa na kasi tofauti na cha kwanza.
–
“Mimi ni muumini wa soka la kasi, sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi na sitaki pasi za nyuma, katika mchezo uliopita kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa sana na mpira na kupiga pasi zisizokuwa na faida
–
“Lakini kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndo maana tukaweza kupata magoli matano ukilinganisha na kipindi cha kwanza ambacho tulifunga goli moja pekee,” amesema Kocha Zoran.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA
HABARI

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE
HABARI

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI
HABARI

EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU MPYA LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA
HABARI

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In