Kampuni ya michezo ya bahati nasibu, SportPesa imesalia kuwa mdhamini mkuu wa klabu ya Young Africans SC kwa kuongeza mkataba wenye thamani ya bilioni 12 na klabu hio huku klabu ya Simba SC yaingia makubaliano na mdhamini mpya M-Bet.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT