ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 9, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

TMSA Kutoa Tuzo Bora Za Masoko Tanzania Za Mwaka 2022.

I am Krantz by I am Krantz
Jul 21, 2022
in HABARI
0
TMSA Kutoa Tuzo Bora Za Masoko Tanzania Za Mwaka 2022.
0
SHARES
184
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

KARIM BENZEMA ATAMBULISHWA RASMI AL-ITTIHAD

Jun 9, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

Jun 9, 2023

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

Jun 8, 2023
Load More
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT



Mwenyekiti wa Bodi ya TMSA, Dkt. Emmanuel Chao (PhD) (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la ugawaji tuzo za masoko kwenye vipengele 14. Tukio hilo litakayofanyika Ijumaa tarehe 22 Julai katika jengo la PSSSF. Mwanzoni kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Josephine Msalilwa kutoka Coca-Cola ambao ni miongoni mwa wadhamini wakuu wa tuzo hizo.


 Katika nia ya kuhamasisha weledi zaidi katika sekta ya masoko nchini Tanzania, Chama cha Sayansi ya Masoko Tanzania (TMSA) kinatarajiwa kutoa tuzo katika vipengele 14 tofauti vya masoko kwa mwaka 2022.

Tuzo hizi za masoko 2022 zitafanyika Julai 22 jijini Dar es Salaam, na tuzo hizi zimevutia kampuni kubwa kudhamini na kushiriki kwenye tukio hili.

Tangu mwaka wa 2021, TMSA imetumia tuzo hizo ili kuakisi juhudi na mafanikio ya watu binafsi, mashirika, na wasomi ambao wanaleta mabadiliko katika nyanja ya masoko.

Akizungumza na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Bodi ya TMSA, Dkt. Emmanuel Chao (PhD), alieleza jinsi masoko kuwa nguzo muhimu ili kuhakikisha ukuaji wa kampuni na kuleta faida. Alisema, “Katika biashara yoyote, idara ya masoko ni ya kipekee, kwani inajumuisha kati ya asilimia 30 na 40 ya bajeti ya biashara, na ndio kati ya msingi wa kudumisha biashara yoyote”.

Aliendelea, ‘kwahiyo, kama TMSA, tutatumia fursa hii kuhimiza makampuni na watendaji kuwa na weledi zaidi katika hii idara. Na kwa bahati nzuri, katika TMSA, tayari tunatoa programu za masoko. Pia tuko kwenye mazungumzo na Taasisi ya Chartered Marketing Institute ya nchini Uingereza UK kushirikiana kwenye uandaaji wa programu mbalimbali za masoko. Nia yetu ni kuhakikisha soko la ndani linafaidika zaidi kwa kuzalisha wataalamu waliohitimu na wenye uelewa zaidi wa soko la Afrika kuliko soko la nje’’.

Mmoja wa wadhamini wakuu, kampuni ya Coca-Cola ambayo iliwakilishwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Josephine Msalilwa alikiri kuwa tuzo hizo zitakuwa chachu katika kuchochea ukuaji wa sekta ya masoko. Alinukuliwa, “Tuko pamoja na TMSA katika utoaji wa tuzo za TMSA, na tuna matumaini yetu ni kuwa huu ni mwelekeo sahihi wa kuhamasisha ubunifu na weledi miongoni mwa wafanyabiashara wa Tanzania,” alisema.

Mchakato wa kuchagua na kuteua washindi wa tuzo uliendeshwa mtandaoni, ambapo watu binafsi na mashirika yaliteuliwa. Baada ya mchakato wa uteuzi huo, timu ya majaji wenye uzoefu ilipitia uteuzi uliopendekezwa na washindi waliochaguliwa.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA
HABARI

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE
HABARI

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI
HABARI

EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU MPYA LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA
HABARI

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In