ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, May 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

VIWANJA SITA VYA MICHEZO VYATENGEWA BAJETI – MCHENGERWA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jul 8, 2022
in HABARI
0
WAZIRI MCHENGERWA AVITAKA VILABU KUFANYA UWEKEZAJI
0
SHARES
212
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

May 30, 2023

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

May 30, 2023
Load More

 

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ili kuinua michezo.

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

Mchengerwa ametoa kauli kwenye usiku wa utoaji wa Tuzo za Mashindano ya NBC, ya Shirikisho la soka nchini 2022. Katika tukio hilio lililovuta hisia za wanamichezo ndani na nje ya nchi, tuzo 43 katika maeneo mbalimbali zimetolewa huku tukio hilo likirushwa mbashara kwenye televisheni na mitandao mbalimbali ya kijamii.

 

 

–

 

“Ninaagiza BMT na TFF wiki ijayo, ratibuni kikao na viongozi wa vilabu tulimalize suala hili. Wenzetu wanafanikiwa sana kwenye michezo kwa kuwa wanazingatia maadili” ameongeza, Mchengerwa

 

 

–

 

 

Pia amesema, Serikali inatarajia kujenga viwanja vya michezo ya ndani na sanaa eneo la Kawe, ambapo amesisitiza baada ya kukamilika utoaji wa tuzo kwa mwaka ujao utafanyika katika kumbi hizo za kisasa.

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

Ameongeza kuwa dhamira ya Serikali kwa sasa ni kuifanya michezo kuwa uchumi, amesema Serikali imeshatenga fedha kwa ajili ya kukarabati viwanja sita nchini, ambapo amefafanua kuwa lengo ni kuandaa mashindano ya soka ya AFCON.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE
HABARI

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA
HABARI

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD
HABARI

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)
HABARI

5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC
HABARI

Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
UMUHIMU WA KULA MATUNDA NA MBOGA MBOGA
HABARI

UMUHIMU WA KULA MATUNDA NA MBOGA MBOGA

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In