ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, May 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Vodacom Tanzania Foundation yatuzwa na hospitali ya CCBRT kwa mchango wa kujenga wodi ya kina mama wajawazito na watoto

Ilichangia shillingi 8 bilioni kukamilisha wodi hiyo

I am Krantz by I am Krantz
Jul 20, 2022
in BURUDANI, MAGAZETI TANZANIA
0
Vodacom Tanzania Foundation yatuzwa na hospitali ya CCBRT kwa mchango wa kujenga wodi ya kina mama wajawazito na watoto
0
SHARES
96
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi tuzo kutoka hospitali ya CCBRT Mkurugenzi wa biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa aliyepokea kwa niaba ya asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ikiwa ni shukrani ya mchango wa shilingi 8 bilioni waliotoa wakati wa ujenzi wa wodi ya kina mama wajawazito na watoto wachanga hospitalini hapo, hafla ya ufunguzi wa jingo hilo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

 

RelatedPosts

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

May 30, 2023

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

May 30, 2023
Load More
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc kupitia asasi yake ya Vodacom Tanzania Foundation imepokea tuzo kutoka hospitali ya CCBRT ambapo wamekabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu ikiwa ni shukrani kwa mchango wake wa kuwezesha kujenga wodi ya kina mama wajawazito na watoto wachanga kwa hospitalini hapo. kampuni hiyo iliwezesha ujenzi wa wodi kwa kutoa msaada wa shilingi 8 bilioni.
Akizungumza kwenye hafla hiyo Rais Samia aliwapongeza Vodacom kwa kuwezesha suala hili na kwa namna gani wanajitoa kurudisha tabasamu kwa jamiii, huku akiongeza kwamba pamoja na hilo kampuni hiyo ina mradi wa m-mama ambao pia unalenga kuwasaidia wanawake wajawazito na watoto, hii inadhihirisha namna kampuni ya Vodacom iko karibu na jamii kupitia huduma za afya.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania Plc (aliyepokea tuzo hiyo kwa niaba ya asasi ya Vodacom Tanzania Foundation) Linda Riwa alisema “sisi kama kampuni ya mawasiliano tunajua wajibu wetu kwa jamiii na malengo yetu makubwa ni kurudisha kwa jamiii kwa kile tunachokipata, ndio maana kupitia sekta ya afya tumekuwa mstari wa mbele mno.”
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation inasaidia maeneo mbalimbali ya kusaidia jamii hususan kwenye afya ambapo inaweza kusaidia wagonjwa wa fistula na watoto njiti.
Mwisho
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

PROFESSOR JAY AWASHUKURU WASANII WENZAKE WALIOKWENDA KUMUONA
BURUDANI

PROFESSOR JAY AWASHUKURU WASANII WENZAKE WALIOKWENDA KUMUONA

by ALFRED MTEWELE
May 18, 2023
DIVA THE BAWSE AWACHARUKIA WANAOFATILIA MAHUSIANO YA PAULA NA MARIOO
BURUDANI

DIVA THE BAWSE AWACHARUKIA WANAOFATILIA MAHUSIANO YA PAULA NA MARIOO

by ALFRED MTEWELE
May 16, 2023
KUTOKA KURASA ZA Magazetiya Tanzania leo MEI 14, 2023
BIASHARA

KUTOKA KURASA ZA Magazetiya Tanzania leo MEI 14, 2023

by I am Krantz
May 14, 2023
MERIDIANBET MWENDO KURUDISHA KWA JAMII YAWAFIKIA BODABODA MBAGALA
HABARI

MERIDIANBET MWENDO KURUDISHA KWA JAMII YAWAFIKIA BODABODA MBAGALA

by I am Krantz
May 14, 2023
TRUMP AKUTWA NA HATIA  YA UNYANYASAJI WA KINGONO
BURUDANI

TRUMP AKUTWA NA HATIA YA UNYANYASAJI WA KINGONO

by I am Krantz
May 10, 2023
DAR BARAKOA LAZIMA/LISU ANA JAMBO LAKE/YANGA,SIMBA , AZAM TAMBO TUPU…….MAGAZETINI LEO ALHAMISI TAREHE 25 JUNI
MAGAZETI TANZANIA

MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 10 MEI 2023

by I am Krantz
May 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
July 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In