Katika kuhitimisha maonyesho ya biashara ya 46, Vodacom Tanzania imeibuka tena kuwa mshindi wa jumla kwenye mawasiliano. Hii ni kutokana na muendelezo wa uwekezaji kwenye mitambo, huduma kabambe za kibunifu na rasilimali watu. Huduma mbalimbali kwenye nyanja za afya, elimu, kilimo, huduma za kifedha, bima, burudani na huduma kedekede za kidijitali. Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuamini.
Pamoja tunaweza
ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT