Zaidi ya watu Milioni 11 kati ya Milioni 30.7 wamepatiwa Dozi kamili ya Chanjo ya UVIKO 19 huku Serikali ikongeza vituo vya utoaji chanjo hadi kufikia 7000 ndani ya miezi mitano kutoka vituo 550 vilivyokuwepo awali kitaifa
ADVERTISEMENT
–
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameyasema hayo mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini uliowashirikisha pia wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19 .
ADVERTISEMENT