Mchezaji bora wa msimu – Yannick Bangala π¨π© (Yanga sc)
–
Kipa bora wa msimu – Djigui Diara π²π± (Yanga sc)
–
Beki bora wa msimu – Henock Inonga π¨π© (Simba sc)
–
Kiungo bora wa msimu – Yannick Bangala π¨π© (Yanga sc)
–
Mfungaji bora wa msimu – George Mpole πΉπΏ (Geita gold)
–
Goli bora la msimu – Fiston Mayele π¨π© (Yanga sc)
–
Tuzo ya mchezo wa kiungwana (Fair Play award) – Djigui Diara π²π± (Yanga sc)
–
Mwamuzi msaidizi bora wa msimu – Frank Komba (Dar es salaam)
–
Mwamuzi wa kati bora wa msimu – Ahmed Arajiga (Manyara)
–
Timu yenye nidhamu – Tanzania Prison (Mbeya)
–
Tuzo ya heshima kutoka kwa Raisi wa TFF – Bakari Shime (Kocha Mkuu timu za Wanawake)
–
Mchezaji bora wa Azam Sport Federation Cup ASFC – Abdul Selemani πΉπΏ (Coastal Union)
–
Mfungaji bora wa ASFC – Abdul Selemani πΉπΏ (Coastal Union)
–
Kipa bora wa msimu ASFC – Mohamed Hussein πΉπΏ (Coastal Union)
Kikosi bora cha Msimu Ligi kuu ya NBC 2021/2022.
1. Djigui Diara π²π± – Yanga sc
2. Djuma Shaban π¨π© – Yanga sc
3. Mohamed Hussein πΉπΏ – Simba sc
4. Henock Inonga π¨π© – Simba sc
5. Bakari Nondo πΉπΏ – Yanga sc
6. Yannick Bangala π¨π© – Yanga sc
7. Abdul Selemani πΉπΏ – Coastal Union
8. Feisal Salum πΉπΏ – Yanga sc
9. George Mpole πΉπΏ – Geita gold
10. Fiston Mayele π¨π© – Yanga sc
11. Pape Sakho π²π± – Simba sc