Watu watano wamefariki dunia na wengine 67 wamejeruhiwa kufuatilia ajali ya basi la kampuni ya Sasebosa lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea mkoani Tabora.
–
Basi hilo lilipata ajali hiyo jana jioni katika kijiji cha Mabangwe wilayani Sikonge.
–
ADVERTISEMENT
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
ADVERTISEMENT
–
Source: Azam