ADVERTISEMENT
Klabu ya Young Africans SC yatambulisha jezi zao zitakazotumika katika michuano ya soka kwa msimu wa 2022/2023 ikiwa imesalia muda mchache kuelekea michezo ya msimu mpya kuanza kufanyika wakianza na mchezo wa Ngao ya Jamii kuchuana vikali na mhasimu wake Simba SC utakaochezwa Agosti 13, 2022 na baada ya hapo Ligi Kuu Tanzania bara kuanza pia.
ADVERTISEMENT