Dili la Eric Bailly kwenda Olympique Marseille limekamilika na muda wowote OM wanatathibitisha hilo.
–
Imeripotiwa kuwa Bailly atakuwa Carrington baadaye leo kuwaaga wachezaji wenzake – kisha atasafiri kwa ndege hadi Marseille ndani ya saa 24h ili kujiunga na OM.
–
Bailly anaenda kwa Mkopo OM kwa mkataba wenye kifungu cha lazima cha kununua moja kwa moja.