Ikiwa ni sehemu ya kuendelea kusogeza huduma za kibenki Wanatanzania, leo hii Benki ya CRDB imezindua tawi lao jingine wilayani Lushoto mkoa wa Tanga.
Hafla ya ufunguzi wa tawi hilo umeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Omary Mgumba, viongozi wao kutoka Makao Makuu na matawi jirani pamoja na wananchi wa Lushoto.


