ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

I am Krantz by I am Krantz
Aug 5, 2022
in HABARI
0
Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini
0
SHARES
139
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

 

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

 

 

 

 

 

 

Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa mikopo kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati nchini kwa lengo  la  kusaidia ukuaji wa sekta hiyo.

Akichangia mada wakati wa Kongamano la Nishati lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Alfred Shao, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, alisema benki hiyo ina bidhaa nyingi za kifedha mahususi kusaidia wawekezaji katika sekta ya nishati chini.

Shao alisema benki hiyo ikiwa ni mshauri wa uwekezaji aliyeidhinishwa pia inatoa huduma za ushauri kwa wateja na pia wakati mwingine husaidia kutafuta mitaji kwa makampuni mapya.

“Sisi kama benki tunaelewa kuwa uwekezaji katika sekta ya nishati  unahitaji mitaji mikubwa. Tuna fedha za kutosha kutoa mikopo kwa wadau  kwenye sekta ya nishati.  Kwa sasa tunaweza kutoa mkopo wa mpaka milioni 300 kwa mtu mmoja,” alisema Shao.

Alisema benki hiyo pia imejenga ushirikiano mzuri na mashirika ya kifedha ya kimataifa kama vile Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) na ina mpango wa kuanzisha hati fungani za kijani.

“Tulifanikiwa kutoa Hati Fungani Maalum ‘NMB Jasiri Bond’ mwaka huu ambayo ilikuwa na mwitikio mzuri sana tunatarajia kutoa hati fungani ya kijani inayolenga sekta ya nishati jadidifu,” alisema.

 

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Biashara na Uwekezaji, Exaud Kigahe wakati wa hafla hiyo alisema Serikali inatarajia kutumia fursa kwenye maeneo ambayo hayajatumika hasa katika nishati jadidifu yaani renewable energy na kusisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kufanya kazi na sekta binafsi katika kukuza sekta hiyo.

Alisema Serikali tayari imeanza utekelezaji wa mkakati wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini Tanzania huku akisisitiza dhamira ya Serikali ya kupunguza urasimu usio wa lazima miongoni mwa taasisi zake.

“Kwa nchi yetu haipo kwenye kiwango kizuri cha mazingira ya kufanya biashara. Tumepiga hatua kubwa kuweka mazingira mazuri ya biashara kama sehemu ya juhudi zetu za kuvutia wawekezaji zaidi nchini na hii itatusaidia kuongeza ushindani,” alisisitiza.

MWISHO

 

 

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In