ADVERTISEMENT
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bi. Brenda Msangi aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa ugeni wa Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Ujerumani, Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika wa Ujerumani CBM, KFW & GIZ ambao wametutemblea jana kujionea kazi wanazozifanya.
Naibu waziri huyo, aliwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku saba kuanzia tarehe 13 – 20 August 2022. Tunaishukuru Serikali ya Ujerumani kwa ushirikiano na msaada wake kwa Tanzania kupitia CCBRT.
ADVERTISEMENT