Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amekabidhi mfano wa hundi yenye Thamani ya Tsh. 25M kwa Mkurugenzi mkuu wa Klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez ili kulipa nguvu Tamasha la Simba Day lililoandaliwa na klabu hio ambalo litafanyika Agosti 8,2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT