
Siku ya jana Agosti 19, 2022 Benki ya CRDB imezindua rasmi kampeni yao ya Tisha na TemboCard ambayo kama mtumiaji wa huduma za benki hio unatakiwa kufanya miamala mingi kadri uwezavyo kwa kadi ujishindie mazawadi kibao. Zaidi ya Tsh. Milioni 100 kutolewa kwa washindi kwa muda wa miezi 6. Tsh. Milioni mbili kutolewa kila mwezi.
Na kubwa kuliko yote washindi 4 watajishindia safari iliyolipiwa kila kitu kwenda Qatar kushuhudia kombe la dunia.
Tisha ukiwa supermarket, Tisha migahawani, Tisha ukiwa pub, Tisha sheli, Tisha mtandaoni.
Vigezo na masharti kuzingatiwa



