Mh. Dr Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kurasa za mtandao wa kijamii wa Tweeter amewaasa Watanzania kufanya utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara. Ameeleza hayo baada ya kushiriki CRDB Marathon msimu wa 3 yalioandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika Jumapili ya Agosti 14, 2022 hapa jijini Dar es Salaam.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT