Kama wewe ni mtumiaji wa pc ama kompyuta unaweza jiuliza ni kwa namna gani unaweza ku screenshot picha au kitu chochote kwenye Komputa yako (laptop au desktop), kama ni hivyo usijali ni rahisi sana. Fuata hatua zifuatazo.
- Bonyeza kitufe cha fn+prt sc au alt+prt sc au window+prt sc
- Baada ya hapo picha yako utaweza kuiona katika faili la Picture
Pia unaweza kutumia snipping tool ambayo hii ni program ambayo inakuja na kifaa chako au pc,kama kompyuta yako haina programu hii unaweza kuidownload kupitia Google.
