Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo, mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa.
–
Akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio la kujinyonga kwake bali ni mgogoro unaohusisha familia yake.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Mkuu wa mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani amewaambia waandishi wa habari wakati akiwa nyumbani kwake akitekeleza shughuli ya kuhesabiwa, amesema Serikali imesikitishwa na tukio hilo la Karani kuchukua uamuzi wa kukatisha uhai wake.