Man City imekamilika usajili wa mlinzi wa kushoto Sergio Gomez kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 13 kutoka klabu ya Anderlecht ya Ubelgiji.
–
ADVERTISEMENT
Gomez (21) raia wa Uhispania amesaini kandarasi la kuitumikia miamba hiyo ya England mpaka 2026 na anakuwa mbadala wa Oleksandr Zinchenko
ADVERTISEMENT