Bondia maarufu nchini Karim Mandonga “Mtu Kazi” ametumia dakika 1 na sekunde 56 kumchakaza mpinzani wake Musa Omary usiku huu katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha Tamasha la kihistoria la Sensabika.

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.