Mwasisi wa #SimbaDay na Mwenyekiti Mstaafu wa klabu ya Simba SC, Hassan Dalali akiongoza baadhi ya matawi ya Simba kusalimia mashabiki waliojitokeza katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa ajili ya tamasha la #SimbaDay2022.
Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania ndani ya Simba Day 2022.
Mwanamuziki @officialzuchu akiwaburudisha mashabiki na wapenzi wa soka waliofika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuhudhuria Simba Day.
Msemaji wa Simba SC, akiingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, tayari kusherehesha Simba Day 2022.
Benchi la Ufundi la klabu ya Simba SC kwa msimu wa 2022/23 linaloongozwa na Kocha Mkuu wa klabu hiyo, Zoran Maki.
Mbabe wa Mandonga yuko ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
ADVERTISEMENT
Utambulisho wa Wachezaji wa klabu ya Simba SC watakaotumika kwa msimu wa 2022/23.
Gwaride la heshima kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake 2021/22, Simba Queens.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Salomon Kalou na mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Alex Song wako kwenye Simba Day.
Tuzo ya Goli Bora la CAF mwaka 2022 alilofunga Pape Sakho mbele ya Wanasimba.