ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MCHENGERWA AMUAGA MABEYO AMKABIDHI MIKOBA YA LUGALO GOFU MKUU WA MAJESHI MKUNDA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Aug 29, 2022
in HABARI
0
MCHENGERWA AMUAGA MABEYO AMKABIDHI MIKOBA YA LUGALO GOFU MKUU WA MAJESHI MKUNDA
0
SHARES
169
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa serikali itaendelea kumuenzi Jenerali mstaafu Venance Mabeyo kutokana na mchango wake wakukuza tasnia ya michezo nchini.

 

–

 

Akizungumza Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kufunga Shindano maalum (NBC LUGALO TROPHY 2022) la kumuaga aliyekuwa mlezi wa klabu ya gofu ya Lugalo Venance Mabeyo na kumkaribisha mlezi mpya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda amesema kuwa wizara inampa pongezi nyingi Mabeyo kwa kipindi chote alichokuwa madarakani na kuchochea Wana Michezo kufanya vizuri na kututoa kimasomaso katika Michuano ya umoja wa Madola yaliyomalizika nchini Marekani.

 

–

 

RelatedPosts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

Sep 29, 2023

TSO WAZINDUA GALA DINNER

Sep 29, 2023

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

Sep 29, 2023
Load More

“Serikali inakili kuwa juhudi za Mabeyo zimechangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha kwa medali 3 zilizokuja nchini kutokea nchini Marekani kwa wanamichezo kutoka jeshini kufuzu Mashindano ya jumuiya ya Madola Marekani ni wazi hamasa yake Kwa wanamichezo jeshini imepelekea ushindi huu ambao kwa Miaka mingi tulikua tunaenda kusindikiza wenzetu lakini kwa mwaka huu tumekua washindi”.

 

–

 

Aidha, Mchengerwa amepongeza Jenerali mstaafu George Waitara kwa kuanzisha klabu hiyo na wengine kuiendeleza huku akimkaribisha Mkuu wa Majeshi Jacob Mkunda.

 

 

–

 

 

“Namfahamu umahiri wake Mkunda katika Michezo na kwa uzoefu alionao wa kulea vikundi vya michezo ataendeleza yale ambayo waasisi wameacha na kukamilisha mradi wa uwanja wa gofu mkoani Dodoma.

 

 

–

 

 

 

Kwa upande wake Mabeyo aliwashukuru wanachama wa klabu hiyo kwa ushirikiano waliomuonesha tangu alivyopewa ulezi mwaka 2017 na kuwataka kumpa ushirikiano Jenerali Mkunda

 

 

–

 

“Tumeanzisha klabu nyingine ya gofu Ihumwa kule Dodoma na inaendelea na matengenezo na hivi karibuni itakamilisha mashimo tisa na kumkabidhi Jenerali Mkunda kuhakikisha anaiendeleza ili watu waendelee kucheza gofu”.

 

 

–

 

 

Pia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda ameahidi kuiendeleza Klabu hiyo ya Golf Nchini sambamba na Klabu mpya ya golf ya JWTZ ihumwa Dodoma.

 

–

 

 

Kwa Upande wake Mwenyekiti wa Klabu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo amempongeza sana Mlezi mstaafu wa Klabu hiyo na kumkaribisha Mlezi mpya huku akihaidi ushirikiano na ushindi kila Mashindano yanayofanyika nje na ndani ya Klabu.

 

–

 

 

Huku akiwasihi wadhamini kuendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika mchezo wa gofu na kueka jitihada kuhakikisha watoto (Jr) wanafika mbalimbali Kwa kushiriki Mashindano yanayoandaliwa na wadhamini kama walivofanya benki ya biashara (NBC).

 

Source : Michuzi Blog 

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In