ADVERTISEMENT
Mwanasoka mahiri aliyekuwa anakipiga nafasi ya ushambuliaji katika klabu ya Simba SC Meddie Kagere rasmi atambulishwa kuwa mchezaji wa klabu ya Singida Big Stars FC ambayo kabla ya hapo ilifahamika kama DTB FC kutokea mkoani Singida.
ADVERTISEMENT