Kupitia maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa STAMICO, Makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango alitaka Baraza la Taifa la uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC likiambatana na STAMICO kufanya tadhimini ya mazingira seheme za uchimbaji wa madini kwa wachimbaji wakubwa kwa wadogo ili kudhibiti uhalibifu wa mazingira.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT