Mtoto wa Msanii maarufu wa Bongo Shetta afahamikaye kwa jina la Qayllah Nurdin amejizolea umaarufu zaidi Mtandaoni baada ya kufanya tukio lililoushangaza umma baada ya kwa kujiamini ameweza kuhamasisha jamii kuweza kujitokeza kwa wingi ili wahesabiwe katika zoezi zima la SENSA 202 ikiwa yeye anavutiwa sana na Rais wa Nchi ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan hivyo ametumia mienendo ya Rais huyo kuonesha thamani ya jitiada za Rais juu ya Suala hilo.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT