Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw.Theobald Sabi mapema leo
–
Ambapo benki ya NBC mdhamini mkuu wa matembezi ya ya ‘Uzazi ni Maisha Wogging Marathon’ kwa kushirikiana na shirika la Amref Health Africa Tanzania na Wizara ya Afya ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amani, Zanzibar.