ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, June 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NBC YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI DODOMA

I am Krantz by I am Krantz
Aug 4, 2022
in BIASHARA, HABARI, MICHEZO
0
NBC YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI  DODOMA
0
SHARES
123
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkuu wa kitengo Cha Biashara Bw Mussa Mwinyindaho akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyabiashara wa Dodoma mara baada ya Semina ya wafanyabiashara wa mkoan Dodoma iliyofanyika mwishoni wa wiki na kusimammiwa na viongozi waandamizi kutoka Benki ya NBC
Mkuu wa kitengo Cha Biashara wa Benki ya NBC Bwana Mussa Mwinyindaho makao Makuu , akifafanua jambo kwa wafanyabiashara wa Dodoma (hawapo pichani)  kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya Biashara mfano , Mikopo ya mitaji , Mkopo wa ujenzi wa jengo la biashara na Bima ya Biashara. Aliwaasa wafanyabiashara kwa wakati wote wasisite kufika katika matawi ya NBC kupata huduma za kibenki

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), iliandaa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Morena Dodoma ,ambapo  ilialika wamiliki wa Biashara wa mkoa wa Dodoma, kwa lengo la kuongeza ukaribu na wateja wao ambapo benki ya NBC iliwafunda wajasiriamali waliohudhuria hafla hiyo na kuwapa vidokezo  juu ya jinsi ya kuboresha biashara zao.

Benki ya NBC ndiyo Benki kongwe zaidi nchini  Tanzania yenye uzoefu wa kutoa  huduma kwa zaidi ya miongo mitano, pia inatoa aina mbalimbali za huduma  za  kifedha kwa wafanyabiashara,  zaidi ya hayo, NBC ilishinda tuzo kama taasisi bora zaidi ya kifedha inayosaidia wajasiriamali kwa mwaka 2018, na hivyo kuifanya NBC kuboresha bidhaa na huduma  zinazolenga kusaidia wajasiriamali kukuza biashara zao.

RelatedPosts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

Jun 1, 2023

MAYELE;- TUNAENDA KUSHINDA KWAO USM ALGER

May 31, 2023

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

May 31, 2023
Load More

Mkuu wa kitengo cha biashara,benki ya NBC, Mussa Mwinyidaho, aliwashukuru na kuwakaribisha  wajasiriamali waliohudhuria hafla hiyo, na kuelezea bidhaa zinazotolewa na benki ya NBC kama vile Mikopo ya kuongeza mtaji unaojumuisha fedha za wasambazaji,  dhamana ya utendaji kazi, dhamana ya malipo ya awali,  mikopo ya uwekezaji na mikopo ya ujenzi wa majengo ya Biashara.Mbali na hayo benki ya NBC inatoa bima ya biashara  ambayo itawasaidia wajasiriamali wakati maafa yanapotokea.

Mjumbe wa Bodi ya benki ya NBC, Kassim Hussein, alisema NBC ni moja kati ya benki zinazoaminika nchini Tanzania, aliongeza kuwa ni muhimu kwa wajasiriamali kuwa  na ujuzi na ufanisi wa kutumia huduma za kibenki, na wawe na uaminifu kwenye kurudisha mikopo na watumiapo huduma nyingine za kibenki, hivyo wajasiriamali wanatakiwa kuwa wabunifu sana, kujitangaza ili waweze kutengeneza wigo mpana wa kupata wateja wengi zaidi na kuongeza kipato kutokana na Biashara zao.

ADVERTISEMENT

Bw.Masanga,Mwenyekiti wa Wajasiriamali mkoani Dodoma alisema benki ya NBC ndiyo benki  inayotoa huduma bora na msaada  kwa wateja wake na kupendekeza kuwa ni muhimu kwa benki hiyo kuanzisha bidhaa nyingine ambazo zitasaidia juhudi za wajasiriamali kwa madhumuni ya kuzalisha mapato na  maendeleo ya kiuchumi nchini.

Ili kupata maelezo zaidi kuhusu huduma zitolewazo na Benki ya NBC tembelea tawi lolote lililo karibu nawe au tembelea tovuti  yao;https://www.nbc.co.tz.

 

 

ADVERTISEMENT

 

 

Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma walishukuru benki ya Taifa ya Biashara kwa kuweza kuwaalika katika hafla hiyo na wamejifunza mengi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki na, kusisitiza ndio benki Bora hapa Tanzania

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
MAYELE;- TUNAENDA KUSHINDA KWAO USM ALGER
MICHEZO

MAYELE;- TUNAENDA KUSHINDA KWAO USM ALGER

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
HABARI

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU
HABARI

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO
HABARI

WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In