ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, August 8, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB yakabidhi Milioni 60 Maonyesho ya Nanenane – Mbeya

I am Krantz by I am Krantz
Aug 2, 2022
in HABARI
0
NMB yakabidhi Milioni 60 Maonyesho ya Nanenane – Mbeya
0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT


Benki ya NMB imeendelea kuiunga mkono serikali katika kufanikisha maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane) kwa kukabidhi Sh. milioni 60 kwa ajili ya maonyesho hayo.

Katika hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo iliyofanyika jana mjini Mbeya, Meneja wa NMB Kanda ya Kusini- Straton Chilongola alisema kuwa benki hiyo imetoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kufanikisha shughuli mbalimbali za maonyesho hayo.

RelatedPosts

MATUKIO  YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

MATUKIO YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

Aug 8, 2022

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Aug 8, 2022

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

Aug 8, 2022
Load More

Alisema kuwa katika kipindi cha miaka mitano ambayo maonyesho ya Nane nane yamekuwa yakifanyika, NMB imetoa udhamini wa zaidi ya Shilingi milioni 195 katika kufanikisha maonyesho hayo muhimu kwa Taifa.

Chilongola, aliongeza kuwa katika kuunga mkono juhudi za Rais wa Awamu ya sita, Samia Suluhu Hassan, Mchango wa NMB ni kujenga uchumi imara kupitia kilimo na ufugaji ndani ya miaka minne kwani zaidi ya akaunti 644,034 za wakulima zimefunguliwa nchi nzima.

ADVERTISEMENT

Benki ya NMB inawakaribisha Wananchi wote kutembelea banda lao katika Maonyesho ya Nanenane 2022 ndani ya Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kupata masuluhisho yote ya kifedha.

MWISHO

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

MATUKIO  YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022
HABARI

MATUKIO YA PICHA TAMASHA LA SIMBA DAY 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .
HABARI

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

by I am Krantz
Aug 8, 2022
UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA
HABARI

UKRAINE YAISHTUMU RUSSIA KUSHAMBULIA KIWANDA CHA NYUKLIA

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI
HABARI

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU AGOSTI 08, 2022

by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
HABARI

ACHA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

by Shabani Rapwi
Aug 7, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In