ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI

Polisi watano wa Mali wauawa na washambuliaji

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Aug 8, 2022
in HABARI
0
POLISI WATANO WAUAWA NA WASHAMBULIAJI
0
SHARES
55
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Polisi watano wa Mali wameuawa siku ya jana Jumapili na washambuliaji wasiojulikana kusini mwa nchi hiyo, idara ya polisi imesema, wakati jeshi la Mali likidai kudhibiti shambulio tofauti la wanamgambo wa kiislamu kaskazini mashariki mwa nchi.

 

 

RelatedPosts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

Feb 7, 2023

NEYMAR ASHINDA SAMBA D’OR, BRAZIL

Feb 7, 2023

CONTE AMPIGIA SIMU KANE BAADA YA KUIFUNGA CITY

Feb 6, 2023
Load More

–

 

 

Kikosi kwenye kituo cha polisi cha Sona kilikanyaga kilipuzi na kulifuatia ufyatuaji mkali wa risasi uliofanywa na washambuliaji ambao hawajajulikana”, idara ya polisi imesema katika taarifa. Taarifa hiyo imeongeza kuwa “maafisa watano wa polisi waliuawa, mmoja akajeruhiwa na wengine watatu wametoweka.”

 

–

ADVERTISEMENT

 

 

Shambulio hilo lilifanyika katika mji wa Sona, katika eneo la Koutiala, karibu na mpaka kati ya Mali na Burkina Faso.Afisa wa eneo hilo aliyechaguliwa na afisa mmoja wa polisi ya taifa, wote wakizungumza na AFP kwa masharti ya kutotajwa majina yao, wamewaelezea washambuliaji kuwa ni magaidi.

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

 

Mali inakabiliwa na uasi wa muda mrefu wa wanamgambo wa kiislamu ambao umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kulazimisha maelfu ya wengine kuhama makazi yao.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
CONTE AMPIGIA SIMU KANE BAADA YA KUIFUNGA CITY
HABARI

CONTE AMPIGIA SIMU KANE BAADA YA KUIFUNGA CITY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
MAN CITY YASHTAKIWA, KUPUNGUZWA POINTI AU KUSHUSHWA DARAJA
HABARI

MAN CITY YASHTAKIWA, KUPUNGUZWA POINTI AU KUSHUSHWA DARAJA

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TIGO KWENDA KUMKABIDHI  GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA
HABARI

TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023
SHOTI YA UMEME YAUA MAMA AKIMUOKOA MTOTO WAKE
HABARI

SHOTI YA UMEME YAUA MAMA AKIMUOKOA MTOTO WAKE

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
AFARIKI KWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU
HABARI

AFARIKI KWA KULA CHAKULA CHENYE SUMU

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In