Watu 14 wamefariki nchini Uganda na wengine 13 wanapatiwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe aina ya ‘City 5’ mjini Arua.
–
Vifo hivyo vilianza kutokea Agosti 19 hadi Agosti 21, huku waathirika wakipata maumivu ya kichwa, mgongo na matatizo ya kupumua.