ADVERTISEMENT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ampokea Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) – Terminal 1 kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kiserikali ya siku moja nchini Tanzania
ADVERTISEMENT